Recent Posts
Wednesday, July 13, 2016
KITUO CHA POLISI KIMEVAMIWA HUKO KENYA
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba ,kituo cha polisi cha penguria huko nchini Kenya kimevamiwa na mtu aliyejihami kwa silaha.Inasadikika mtu huyo anafanya shambulio hilo ili kumuokoa mwenzake ambaye anashikiliwa na polisi